Friday, April 10, 2020

NEWS:HARMONIZE ATOA WIMBO WAKE WA BED ROOM KWENYE YOUTUBE SABABU NI HII



Mwimbaji staa wa Bongo, Harmonize amefunguka kuhusu kutoa wimbo wake wa BED ROOM Youtube ambao ulikuwa ukifanya vizuri na hata kuingia trending number moja

Harmonize ameeleza kuwa ameutoa wimbo huo baada ya kuitwa Bodi ya filamu ambako aliambiwa maneno haya kwamba video hiyo Inapaswa kutazamwa na watu mwenye miaka zaidi ya 18 hivyo kwa sasa upo private na badae ataurudisha kingine anasema amejifunza mengi na anawashauri wasani wenzake  kabla hawajatoa video wazipeleke script bodi ya filamu kuondoa usumbufu.





No comments: